Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio sababu nimekuja kupata jibu kwanini wanaoshinda kanisani wanakuwa na changamoto nyingi za kipato
Neno la Mungu ni chakula Cha kiroho inatakiwa kulishika muda wote ni kama vile wewe usipoamua kula chakula unazani Nini kitatokea? basi usipokuwa unasoma neno ni hivyo hivyo
Na ndio mana wakati Yoshua anapewa agano aliambiwa hivi
Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."
Faida kubwa ya kusoma neno nikujiweka kuwa karibu kiroho na Mungu unakuwa na Roho mtakatifu hii ni nguvu ya Mungu anayoiweka ndani yako ili kukupa msaada
Unapotengeneza upatanisho wa kiroho na Mungu hapa ndipo matokeo yanapokuja kuonekana katika mwili kupata elimu,kupata ufahamu,kutatua changamoto zako katika njia nyepesi
Roho mtakatifu atakuongoza katika kuomba kwako ili upate baraka na Mimi kitu nilichojifunza baada ya kuanza kusoma biblia kila siku Kuna maandiko yanasema "ombeni nanyi mtapewa... Mathayo 7:7
Ni kweli Mungu anajibu maombi lakini anayajibu kwa kila hatua inayohitajika mfano huwezi kumuomba Mungu mwakani ujenge nyumba wakati hauna hata kiwanja kwanini usiombe kwanza ununue kwanza kiwanja umeona unapokosea
Roho mtakatifu atakusaidia kufanikiwa katika kazi zako huwezi kupata mafanikio bila kuwa Roho mtakatifu baada ya kuanza kusoma biblia kila siku Kuna vitu vilianza kubadilika katika ufanyaji wangu wa kazi katika kuwaza kwangu yani kama na mpango wa kuboresha huduma Fulani kwenye biashara zangu huwa naisikia sauti ndani yangu automatic inaniambia nifanye jambo fulani naona nitofauti kabisa na yale yote niliyoyawaza na nikifanya hivyo natengeneza faida kubwa zaidi hapa ndio nikaja kugundua kumbe yanayouliziwa na wateja sio yanayohitajika bali Kuna nguvu ya Mungu iliyondani ndio ambayo itakupa Siri za wateja nini wanahitaji
Hata ilipotokea na shida ya kiafya wakati naumiza kichwa Nini nifanye nipo njiani narudi nyumbani ghafla nasikia sauti ikiniambia "unaona yale matunda yanayotembezwa anza kuyatumia" nimerudi nyumbani naendelea kuwaza sauti inanijia ghafla "kwanini nisitafute maarifa mtandaoni " siku Ile ilipita sababu ya uchovu nilipitiwa na usingizi siku ya pili asubuhi naamka kutafuta habari mbalimbali za siasa kama kawaida yangu naingia jukwaani nakutana na Uzi wa mtu ukieleza jinsi alivyopona tatizo lake ambalo ni sawa lile lililokuwa linanisumbua Mimi basi na Mimi nikajikuta nimepata neema hiyo
Katika hayo yote
Jambo jingine nikaja kujiuliza inawezekana hata huko ulimwenguni watu wanaogundua vitu vikaleta impact kubwa kama sio Mungu anayewapa basi huwa kuna mahali Siri hizi wanazitoa mana nilichojifunza huwezi kupata matokeo makubwa bila kuwa na nguvu ya kiroho