Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Kwa kweli Bora niendelee kuwa mshamba tu.
 
Hatari sana watu wanajua wamelewa alafu unafanya vitu vinavyohitaji attention huo ni upuuzi sanaa
 
Duuuh.....afuu kweli so inakubidi mtu upunguze mizux[emoji848]
 
Kuni na mkaa ni wachafua na waharibifu mazingira.
Mi gesi, umeme tu
Nunua multi cooker hutajutia, mkaa utausikia kwa jirani
Multi cooker ndio nini
Ile inapika vitu vingi inabake, inachemsha
 
Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.
Hovyo sana wewe, kwa hiyo ukamwamshe mke kisa akupashie chakula,. Ndo mana wabongo hatuendelei kila kitu afanye mwanamke.
Naomba upate Mmachame akunyooshe
 
Tuweke fire extinguishers ndani jamani sio ufahari ni kifaa muhimu cha uokozi hasa kama nyumba ina matumizi ya gesi na umeme kwa muda mwingi!

Poleni sana kwa msiba, Muumba awape pumziko la Amani marehemu.
Moto wa gesi hauzimwi kwa fire extinguisher ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…