Mmeshamaliza kuwahoji ccm?Sawa, lakini lazima tuhoji usafi wa kila mwanasiasa regardless ni nani
Kama unauthibitisho wa uwizi nenda mahakamaniNi jukumu letu kukemea na kuhoji wizi na udanganyifu wa kiongozi yoyote wa umma, awe serikalini au upinzani. Lissu anajipa kinga lakini kuna ukakasi kwenye nyendo zake haswa inapokuja michango anayowakamua maskini wenye shida nyingi kuliko yeye. Ana historia ya kupata double double na zote akatafuna.
ni mazoea tu na tabia mbaya ya kuombaomba 🐒Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Kama samia anavyotolewa ela na watu kwa ajili ya kuchukua fomu ya uraisini mazoea tu na tabia mbaya ya kuombaomba 🐒
fatuma amegoma kushikwa maskio na ombaomba mjanja 🐒Kama samia anavyotolewa ela na watu kwa ajili ya kuchukua fomu ya uraisi
Kama alivyo ombaomba samiafatuma amegoma kushikwa maskio na ombaomba mjanja 🐒
mazoea mabaya sana kuomba kuchangiwa🐒Kama alivyo ombaomba samia
Fomu ni milion moja ila ameshachangiwa zaidi ya million 100
Kumbuka sio Chadema walioomba mchango kwa ajili ya kumnunulia Lissu gari,Bali wananchi hususan wana Chadema ndio walisema hii iliyoshambuliwa ikawekwe makumbusho na Mh Lissu anunuliwe gari nyingine ya kufanyia kazi kwa michango ambayo wananchi wenyewe wameomba kuchangia.Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Mazoe mabaya ya samia kuomba mchango wa sh million 1mazoea mabaya sana kuomba kuchangiwa🐒
inabidi utengeneze imotional script, ili uonewe huruma watu wavutike kukuchangia 🤣
lakini hata hivyo wengi wamestukia haka katabia , ikiwa ni pamoja na fatma 🐒
🤣 Mtu alichangiwa matibabu, akachangiwa hela ya kula na diaspora, akalipo mamilioni ya mishahara yake na marupurupu, lakini bado tu anaomba achangiwe 🤣Mazoe mabaya ya samia kuomba mchango wa sh million 1
Mazoe mabaya ya samia kuomba mchango wa sh million 1🤣 Mtu alichangiwa matibabu, akachangiwa hela ya kula na diaspora, akalipo mamilioni ya mishahara yake na marupurupu, lakini bado tu anaomba achangiwe 🤣
hii tabia kama sio mazoea itakua ni ya kurithi. Hata hivyo wanao elewa wamemstukia vizuri sana 🐒
Ni kweli unavyosema. Bima ilitakiwa idaiwe within 3 months au 6. Sijui sheria za bima Tanzania inasemaje. Ila sidhani kama unaweza kudai baada ya miaka 7.Bima huwa ni mwaka moja tuu, hii gari ya Lissu ilikuwa polisi tangia September 2017kwa hiyo bima ili expire zamani sana na Polisi siyo jukumu lao ku renew
Yaweza kuwa huko Guantanamo kuna Basha wako umemmissIla chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Kwani Tundu Lissu 1) ndiye kaomba achangiwe, au 2) supporters wake ndio wame'initiate' achangiwe? Kama jibu ni 1) aseme kama bima imebuma au la. Kama jibu ni 2), then muuliza swali 'anachanganya mada'.Bima ya nini? 🐼
Kwa hali aliyokuwa nayo baada ya lile tukio la kishetani hivi angeweza kufuatilia?Ni kweli unavyosema. Bima ilitakiwa idaiwe within 3 months au 6. Sijui sheria za bima Tanzania inasemaje. Ila sidhani kama unaweza kudai baada ya miaka 7.
Sawa ilaYaweza kuwa huko Guantanamo kuna Basha wako umemmiss
Siwezi kuamini kuwa Fatuma hajui kuwa bima wanalipa baada ya ripoti ya polisi kuhusu ajali au tukio, polisi wamegoma kupeleleza tukio la kushambuliwa Lissu, sasa Lissu ataanzaje kudai bila ripoti ya polisi?Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416