Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Dogo watamuathiri pia Kisakolojia,
Watamuathiri akina nani tena? Na wakati ni yeye mwenyewe ndiyo ameamua kufanya hicho alichokifanya, kwa ushirikiano wa karibu na huyo tapeli aliyemdanganya!

Bora hata ungesema "atajiathiri kisaikolojia" ningekuelewa.
 
kumwacha hakuna shida lakini ni lazima agate sheria za kuvunja mkataba,hakuna njia ya mkato amedanganywa sana fei sasa kagonga mwamba,njia iliyobaki ni ama arudi yanga ili kuomba mkataba uvunjwe ambapo ni lazima timu inayo mtaka inijokeze kuongea na yanga au arudi kucheza hadi mkataba wake uishe au aende cas ya fifa
 
Yanga mmsesahau yaliyowakuta na sportpesa, mpaka busara ikatumika ???
 
yanga wana upper hand kwa mujibu wa sheria na we subiri utaona nini yanga watafanya
 
Au avunje mkataba wake mwenyewe kwa kuongeza dau. Au hili haliwezekani?
 
Anajikomoa mwenyewe afate utaratibu ka anataka kusepa..
 
Bimkubwa ni Balozi wa mashoga. Atakuwa na hoja gani ya maana ya kumtete kijana huyo mbali na kutaka mtoto wa watu akajifunze kuliwa ili Bimkubwa apate bonus ya kuendeleza ushoga nchini?
 
Kumbe wewe ni mweupe wa sheria kiasi hicho? mkataba wa Fei huwezi kuisha 2024 kama hajautumikia utamdai huko mbele hapa anapoteza mda wake bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha sana. Yaani kutoka kula ugali na sukari, mpaka kuilipa klabu milioni 110 cash from nowhere, kwa ajili ya kuvunja mkataba!!
 
Kumbe wewe ni mweupe wa sheria kiasi hicho? mkataba wa Fei huwezi kuisha 2024 kama hajautumikia utamdai huko mbele hapa anapoteza mda wake bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
JF ukishajua unavimba kwa kejeli. Haya nifundishe, huyu fei mkataba utaisha lini badala ya 2024 na kwa nn?
 
Huyo dogo mnampa promo ya bure tu, wala sio kwamba bila yeye Yanga ndio basi tena
 
Wamuache kwa utaratibu gani na wakati alikuwa yupo kwenye mipango ya timu mpaka 2024!

Na kila timu ikiamua kuruhusu madudu ya aina hii, si itatokea siku wachezaji wote wameondoka!!

Mimi naona wachezaji wetu wanatakiwa kupewa semina maalum kuhusu mikataba, ili kuondoa changamoto za aina hii.
 
Sababu za undani zitatolewa kwa wahusika ma shauri hilo

Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Brother, mkataba ni siri kati ya muajiri na muajiriwa. Ndio maana sio rahisi sisi tusiohusika kuonyeshwa yaliyomo.
 
[emoji23][emoji23]ila wewe jamaa yaani unaleta reference za kuna Young Thug, Kodak black?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]ila wewe jamaa yaani unaleta reference za kuna Young Thug, Kodak black?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…