Kama wewe unaona Mbowe hamtambui Magufuli, basi Magufuli anamtambua Mbowe kama Kiongozi wa Kambi ya upinzani nchi kama alivyomwita basi tutumie kutambulika kwake na magu tufanye kaziLini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Sumaye ni mwandamizi!?Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Ndio maana nimesema Mh Mbowe bado ni kichwaChadema imefikia uamuzi mgumu kwa maslahi ya Taifa
Wala usitumie akili nyingi sana .Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ameenda Mwanza kibwege bwege. Na sio yeye tu, yaani Heche, Mnyika, Sugu, Lema, Boniface waende Mwanza bila kuwa na jambo la maana? Sidhani
Mtu akitoa mkono wa shirika mnyoshee mkono with a benefit of doubt. Kusema tu wasaliti, ni kujihesabia haki wakati sisi tunaona makandokando yako na unafiki wako.Either with us or against us, hakuna maridhiano na wasaliti.
Fafanua hili somo; charity should begin at home- CHADEMA tufanye maridhiano na Wilbroad kwanza
Wengi hawakuliona hilo Mkuu. Wameshindwa kuelewa kuwa pale kuna Jumuiya mbali mbali za Kimataifa. Kuna ushahidi wa kutosha endapo atayapuuzia kama kawaida yake.Kati ya Viongozi wa Upinzani waliopewa nafasi ya kuzungumza Mhe. Mbowe ndiye amefunika wote kiukweli!
Ameongea kifupi lakini Hoja yake ni nzito na ina mashiko! Hii inakwenda kuwasha moto wa another BBI in Tanzania!
Hapa Magufuli ametegewa mtego wa kiufundi sana! Hiki kitakuwa kipimo kingine tosha kwa Urais wake. Tayari Uchaguzi wa SM umezidi kutia doa Utawala wake wa kibabe!
Ule wimbo wa POCHI NENE unamaana kubwa sana,yani baba la baba kakata umeme mpaka sasa wameona bora kujisalimisha.....maridhiano [emoji91][emoji91][emoji91]Safi Sana Mwamba Mbowe TUVUSHE.
iko hivi , Mbowe ndiye mtoa mwongozo na dira ya TaifaHakika mh Mbowe ni gwiji wa siasa za Afrika
Are you sure walikuwa wanaongelea hayo uliyoyasema? Nilishawahi kusema kuwa Lumumba kuna takataka tupu! How can you dare say such nonsenses? Can you tell for sure what was being discussed by the duo? (labda kama ulikuwa maid wao and therefore you were in close proximity to hear their talk!, which is very unlikely)Bashiru walivyotumia muda mwingi wa uwepo wao pale kiwanjani kuteta mambo mbalimbali ya kitaifa na ya vyama vya