kwani hizo dreamliner na sgr ndio zinaletwa na demokrasia,acheni ubinafsi na kujiona nyie wa pekee,maendeleo yanafanyika na yanaonekana nyie komaeni na hizo module zenu za demokrasia mkija kushtuka wananchi wameshawasahau.I wish Magufuli angekuwa na angalau 50% ya performance kwenye demokrasia, ukiongezea na hizo dreamliner, SGR, na vingine, angekuwa our best president ever!
Kwa kweli hapa neno 'maridhiano' halijatendewa haki. Mbowe labda aseme amekosa neno sahihi...
Oooh ni tamu kama rhomboids?
No, kama Lordship...
Hayo ni maoni yako.
Na maoni yako si uhalisia wangu.
Una jingine?
Lianzishe wewe basi, "keyboard warrior " mlishindwa kumuunga mkono mange kimambi tarehe 26 mwaka juzi, alafu eti oho hawana political strategiesEti maridhiano! Nasisitiza tena watanzania hawahitaji maridhiano, wanahitaji rule of law, democracy, na mengine mengi yenye manufaa. Chadema kuna baadhi ya maeneo wako clueless kabisa, huwezi kwenda kuomba demokrasia kwa mtu anayepora chaguzi! Mbowe na wenzie hawana political strategists. Tukio la leo sio la kusifiwa! Ni ujinga.
Mimi pia ni Kamanda ila kuna mawazo au mada zingine zinahitaji logic tu na kutafakari. Mfano kwanini jambo flani litokee au lisitokee...?Kujadiliana na makamanda kwa kutumia akili ni mateso!!
Kichwa chako kina ubongo wa nguruwe, kuna ubaya gani kuwa na maridhiano,?? Hata vitabu vitakatifu vinatufundisha maridbiano,
Hata mke na mume kuna wakati huridhiana ili mambo yaende
Maridhiano ni neno laweza kutumika kwa namna nyingine tu.
Sihitaji kutukanana na wewe wala mtu yeyote for that matter. Nimeandika nachoamini na nina haki ya kufanya hivyo. Halafu kuandamana sio political strategy pekee na kwa kweli mimi sijazungumzia strategies, nimetaja strategists.Lianzishe wewe basi, "keyboard warrior " mlishindwa kumuunga mkono mange kimambi tarehe 26 mwaka juzi, alafu eti oho hawana political strategies, kenge nyie
Maridhiano ya nini? Watanzania tumekorofishana lini? Tumegombana na kuuana lini?. Yaani kundi dogo la watu walioamua kuvuruga utawala wa sheria, haki za binadamu na demokrasia ndio litufanye eti tu call for maridhiano. Idealism ya ajabu kabisa.Kichwa chako kina ubongo wa nguruwe, kuna ubaya gani kuwa na maridhiano,?? Hata vitabu vitakatifu vinatufundisha maridbiano,
Hata mke na mume kuna wakati huridhiana ili mambo yaende
Maridhiano ni neno laweza kutumika kwa namna nyingine tu.
Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Pambana uLitoe hilo kundi basi, mangeMaridhiano ya nini? Watanzania tumekorofishana lini? Tumegombana na kuuana lini?. Yaani kundi dogo la watu walioamua kuvuruga utawala wa sheria, haki za binadamu na demokrasia ndio litufanye eti tu call for maridhiano. Idealism ya ajabu kabisa.