Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Mkuu tafadhali usichanye masuala ya Kitaifa na ya Chama. Nchi ni mali ya Watz wote walio na vyama na wasio navyo.Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.