Bishaneni sana juu ya kuhudhuria kwa Mbowe ila ukweli unabaki palepale kuwa, hakuna njia ilyo Bora Kama ukipata nafasi ya kumwambia adui yako vile usivyovipenda usoni mwake huku mkiangaliana machoni! Ccm wameduwaa na hawaamini kilichotokea kwa ukweli ule kuwekwa hadharani huku mabalozi, na wageni wengine wakisikia vyote na vyombo vya habari vya kimataifa vikirusha mubashara hotuba yote! Hongera Mbowe kwa ujasiri wa kumweleza ukweli machoni!