Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Mkuu tafadhali usichanye masuala ya Kitaifa na ya Chama. Nchi ni mali ya Watz wote walio na vyama na wasio navyo.
 
Umesahau Zitto hakutoka bungeni wakati jamaa anahutubia bunge kwa mara ya kwanza kama rais
 
Kauli hii ni typical book7 wakilinda ajira yao. Mana kukiwa na maridhiano kitengo cha book7 mtandaoni kitafungwa. Jamaa mtakosa ajira. muda huu ndio tunaona sumu yenu halisi ambayo hata ccm wenyewe wasipokuwa makini itawadhuru.
 
CHADEMA ni nini? Kwani nayo ni serikali ndani ya serikali? Hicho chama cha watu kadhaa ndo kinajipa hadhi ya kutaka maridhiano na serikali?
The logic is simple, when the enemy is too elephant, simply join and show your weaknesses.
Ukijua kwanini tunaiongelea Chadema na sio TADEA utaelewa umuhimu wa Chadema kwa taifa hili.
 
Dah...hata kwenye maandiko ipo..
Kama humuwezi ungana naye. Wazungu 5:13 [emoji2960]
 
Asingehudhuria angepelekaje ujumbe wake? Kama walimwalika kumtega huku wakijua atasusa basi wamejiharibia maana hawakutegemea Kama angeenda! Na hata aliyempa nafasi ya kutoa salami alitegemea kusifiwa lakini kapewa ukweli na sura yake ilisomeka vyema kwa maneno aliyoambiwa na Mbowe! Mbowe kaitumia fursa ya kumsema hadharani ambalo mashahidi wameshangilia uwanjani hapa!
 
Viongozi wengi wa chadema wameshaambiwa na wanasheria wao kuwa kifungo kipo njiani ndio maana wanajipendekeza ili wapate huruma


USSR
Nchi haiwezi kuendelea kwa kupitia akili zenu zisizokuwa na tija kama yako,utapata faida wakifungwa,umri Wa kuishi kwako utaongezeka,uchumi wako utaimarika kwa,mwenyekiti wako Wa chama amewatambua ww nani,this government will punish you more than the opposition, one day yes,punguza kutafuta maadui,bali jaribu kutafuta maridhiano hii dunia sio ya mamako,ala!
 
katika vita, kuna kipindi unajikuta unahitajika kurudi nyuma kidogo kimkakati. au hujawi sikia hili ndugu?
 
They've given an offer, they can't refuse..

Mwisho wa siku huwezi vimbiana na aliyeshika mpini..
 
Kwanini Mbowe analazimisha ionekane kuna ugomvi
Kwani haupo ugomvi? Uchaguzi wa marudio na wa serikali za mitaa mlitenda sawa? Kuwazuia wasifanye mikutano hata ya ndani ilihali wao ni wanasiasa Kama ninyi ni sahihi?
Sometimes akili yako huyumba Sana!
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Wapinzani wanachohitaji ni maridhiano ya Kitaifa tusimame kama Taifa Moja na sio kubaguana kutokana na itikadi za Kisiasa. Mf rahisi ni majuzi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Baadhi ya Mitaa watu wamekuwa maadui wakati mwanzo walikuwa wamoja. Sasa Vingozi wenye kufikiri kwa mapana hawawezi kuyaona hayo kisha wakavumilia.

Kiongozi yeyote ni kuwaonyesha wenzake njia. Wapinzani wamemaliza sehemu yao kupitia kwa Mh Mbowe. Sasa imebaki upande wa Chama Tawala.
 
Siku ya kuapishwa rais Magufuli Chadema walisusa Zitto alihudhuria na akampongeza, leo Zitto kasusa Chadema wamehudhuria, ndiyo siasa zilivyo.
RIP Kamanda Mawazo,pole sana Lissu.

Nadhani wanajionea wenyewe.
 

Naamini maridhiano hayo yataleta "Chadema Og na Chadema Maridhiano"..ni wapi na lini Halmashauri kuu ilipitisha ombi la maridhiano? mara nyingi maridhiano hufanywa mezani pale uwanja unapokuwa safi na mchezo unapoelekea kubalance je kweli tumeshafika hapo au kujipendekeza kwa kauli nzuri ili angalau 2020 kuwe na ulaji? nafikiri kuna mengi yakujifunza toka kwa Sumaye, Safari, Slaa etc
 
Nipende kukutaarifu tu kuwa matusi na maneno ya kuwakwaza wenzako siyo uungwana, na hakuna chuo cha matusi ikibidi tunaweza kukutukana mpaka ukajijutia
Mbowe no mfanyabiashara..ameshachanga karata2 zake2 vyema..sababu anatambua mh rais kazi anayofanya ya kuboresha maisha ya watanzania.

Wewe na makarai wenzio mliomo humu mtabaki mkivuvuzera wakati Dj Anakunywa supu ya sato mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…