Bishaneni sana juu ya kuhudhuria kwa Mbowe ila ukweli unabaki palepale kuwa, hakuna njia ilyo Bora Kama ukipata nafasi ya kumwambia adui yako vile usivyovipenda usoni mwake huku mkiangaliana machoni! Ccm wameduwaa na hawaamini kilichotokea kwa ukweli ule kuwekwa hadharani huku mabalozi, na wageni wengine wakisikia vyote na vyombo vya habari vya kimataifa vikirusha mubashara hotuba yote! Hongera Mbowe kwa ujasiri wa kumweleza ukweli machoni!
 
Mungu nisaidie Niendelee Kuwa Mtu Huru, Nisiwe Mfuasi Msukule Wa Mtu, Chama Au Kikundi Chochote.

Maana Wafuasi Wengi Ni Watumwa Na Huwa Hawatumii Akili Kabisa.
 
Chadema wawashauri wachaga kuwa Wawe na maridhiano na makabila mengine wasijione superior au kuonea watu wasio kabila yao au kujipendelea kwenye maeneo yenye watu wa makabila tofauti iwe maeneo ya kazi,iwe kwenye siasa ndani ya chadema au popote.

Wachaga wanahitaji maridhiano na makabila mengine ndani ya chadema yenyewe ili chadema isionekane Chama Cha wachaga
 
Leta data tuone.
Unashangilia DJ kujitambua! Subilia data, boss. Then nitakuomba data kuonesha umaarufu wake kokote kwingine. Watu wanahama ninyi munasema wananunuliwa. Mbona moshi hawanunuliwi?? Arusha is no longer with you! Hatutaki kusikia mbunge wa Moshi Arusha wakati ninyi hamtaki mtu wa Arusha kuingia Moshi. Simple!
 
Hawa watu wa aina hii ni wale wanao hitaji vita na migogoro isiyo isha
Huwez kutofautisha kati kumbukizi ya kitaifa na matukio mengine. Mapambano ni process na yanabadilika kulingana na muda. Usiwe static otherwise tueleze mafanikio ya kususiana na kununiana kusikitika tu
 
Kwa aina ya siasa ziendeshwazo na watawala serikali ya sasa, na pia chini ya uongozi wa CCM ya sasa, kuleta kwenye meza ya mazungumzo suala la muafaka ni jambo la heri, kwa hakika itakuwa ni "win-win situation" kwa wapenda demokrasia. Kwa kuwa mwenendo na muelekeo ambao serikali hii ilikuwa inaelekea, ilikuwa ni kanyaga twende tu, katiba na sheria tupa kule.
 
Mimi ni mwana cdm, namuunga mkono kwa hili alililo lifanya mh Mbowe
 
Kwa bahati mbaya Magufuli sio mtu diplomatic ni mtu belligerent hiyo ndio hulka yake na pale unapomtafuta mfanye maridhiano ndio anazidi kuwa arrogant na kuku-tantalize, ndio anajiona zaidi mshindi.

Wazo kama hilo la maridhiano haliwezi kufaulu kwa Magufuli. He views himself as a conquering personality in whom every knee should bow for rather than a diplomatic one.

Kwa mkakati huu naona Chadema wameokota "Hii sio pesa" kwani kondoo hawezi kuomba dialogue na fisi. Never. Mtu ambaye kufuta vyama vyenu ni agenda yake kuu kuliko hata ujenzi wa SGR, Stiegler Gorge na ujenzi wa Busisi-Kigongo Bridge combined, kutafuta muafaka na mtu sampuli hiyo ni sawa na kumtafuta bikra kwenye baa.
 
Wrongly
 
Acha story leta data mkuu.
 
Shukrani kwa mchango mzuri
 
Kikwete aliwaita sana lakini hwapi ,wapinzani wa bongo ni pasua kichwa

Wapinzania watafungwa kwa ishu ya akwilina mambo ya kuomba maridhiano sio time yake


USSR
Kikwete aliita watendaji ikulu na kuwaagiza waharibu form za wagombea wa upinzani??
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Hapa umepanic hadi umeimba nje ya beat.

Praise team tulizeni akili kabla ya kuchangia mada pindi mnapopokea konde la maana kutoka kwa watu makini kama Mbowe.
 
Ambizaneni huko ccm mnakoongoza kikabila na kikanda kwanza huku mkijidai kuwa ni wakati wenu wa kufaidi! Unataka kumdanganya Nani asiyejua na kuona mnavyojazana kila idara nyeti na kupekeja miradi huko usukumani? Au kwako siyo ukabila? Ama kweli nyani haoni kundule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…