Mkuu umeandika point ila ngoja tusubiri....,
 
Kila mtu na mchango wake hata waliopigania Uhuru sio wote walioona siku Tanganyika ikipata Uhuru.
CDM inajidanganya big time kwamba hizo lugha za Maridhiano Magu anazielewa.
 
Ukifikiri kwa makini na kuangalia tuendako,lazima CDM wafanye hivo maana kwa macho yangu,uchaguzi ujao raia hawatakubali na likitokea la kutokea CDM hawatanyooshewa kidole maana itaonekana walishaomba maridhiano wakakataliwa na hivo umoja wa mataifa kumweka mtu Kati yule aliye kataa maridhiano wakiamini ndo chanzo cha hayo yatakayo kuwa yametokea.

Tuweke kumbukumbu
 
Slaa mlimnunua na mnada mkifanyia Serena hotel! Sumaye mlimpa kazi ya kuja kumchunguza Lowasa baada ya ugomvi wake na Nagu kule hanang! Safari analinda kazi yake ya uwakili asijefanyiwa ya Fatuma Karume! Au unapima Kama tunajua mnachofanya ccm kwa cdm? Safari hii nyumba imesafishwa na uchafu wote umetolewa! Kubalini kuwa mtakosa usingizi Safari hii kwa kuilinda udhalimu na unafiki wenu! Tutafika tu kwenye katiba mpya hivi karibuni!
 

Hali ya Kenya haikuwepo Tanzania wala haipo. Jitihada za makusudi zimefanyika kuipa nchi jina baya. Jaribio la kuipaka matope nchi kwa kususia uchaguzi wa serikali za mitaa limetoa majibu. Watanzania hawataki maneno ya siasa, wanataka kazi. Hawakuhuzunishwa, hawakupiga kelele na wala hakukuwa na vuguvugu la maana kuwaunga mkono chadema. Hapa lazima Mbowe asifiwe, amezisoma Alana za nyakati haraka sana, siasa za akina Mdude hazitakiwa, uanaharakati unaua chama, unajaza vijana hasira, unaongeza gharama mahakamani na chama kinaelekea kupoteza ruzuku. Inabidi Lisu abadilike, Lema na kina mdude wabadilike au wahamie ACT.. Wanaohifanya wanamfahamu Mbowe wakati hawajui hats sekondari alisomea wapi wameumizwa tena
 

Litokee lipi? Kwa sababu gani? Daliki ya uchaguzi wa serikali ya mtaa tosha kabisa kukuambia watanzania walivyo. Litokee kwa ajili ya nani hasa? Kama hilo ndio jicho lako, ndugu wahi CCBRT
 
Hahahhhaaa Endelea kulia humu..wenzio wanakunywa bajia,sato na Jembe la Chato.

Viva Magufuli
Nipende kukutaarifu tu kuwa matusi na maneno ya kuwakwaza wenzako siyo uungwana, na hakuna chuo cha matusi ikibidi tunaweza kukutukana mpaka ukajijutia
 
Nchi ni yetu sote.....nadhani kuja kitu kizuri kibakuja kama nchi.

Japo naona Zitto anabwabwaja sana mitandao ni,ila wenzake wanaonyesha ukomavu wa kisiasa
Wamemuharibia Zitto amepeleka malalamiko nchi wahisani, huku anaona chama kikuu cha upinzani kikiomba maridhiano.
 
Tatizo lenu nyinyi uvccm mnadhania kila mpinzani wa ccm au Jiwe yupo nje ya ccm, karibu mwanza hotel hapa ule na kunywa kwa fedha za ccm
Hahahhhaaa Endelea kulia humu..wenzio wanakunywa bajia,sato na Jembe la Chato.

Viva Magufuli
 
Litokee lipi? Kwa sababu gani? Daliki ya uchaguzi wa serikali ya mtaa tosha kabisa kukuambia watanzania walivyo. Litokee kwa ajili ya nani hasa? Kama hilo ndio jicho lako, ndugu wahi CCBRT
Yangu macho,huwenda baada ya uchaguzi wa mwaka kesho wewe ndo ukatakiwa CCBRT
 
Mkuu huyu ni mmoja wa vijana wa Kagame yupo hapa nchini kwa kazi maalum
Babu comment zako zinaonyesha wewe ni mtu unaehitaji kifinywa kidogo.
Mungu atupe maisha siku tukutane
 
Mbowe hiyo nafasi hakuitumia vizuri angeanza hivi sisi Kama chadema tuna makosa mengi tumeifanyia Serikali ya CCM na Raisi hatuwezi sema sisi hatuna makosa sababu sisi sio miungu.Pia CCM yaweza kuwa imetukosea upinzani kwa kujua au kutojua kwani CCM sio miungu kwa muktadha huo tunaomba maridhiano na kusameheana kuwa kitu kimoja tujenge nchi moja.
Lakini Mbowe alivyoongea ninkana kwamba wao Ni malaika na CCM na Magufuli ndio mashetani wanaotakiwa walete maridhiano ya kitaifa!!!! Wao chadema Ni akina malaika Gabriel na mikael
 
Kwa kuomba maridhiano na mtu asiye elewa lugha hizo?
Kumuomba Jiwe maridhiano haimaanishi kuwa hayo maridhiano lazima uyashuhudie wewe au mimi, bali hata vizazi vijavyo vinahitaji uwanja sawa wa kufanya siasa.
 
Hahahaa kamanda umenichekesha sana..kumbe upo hapo?? Niko na delegation ya diplomats nakuja maeneo hayo

Viva Magufuli, Heko watanzania
Tatizo lenu nyinyi uvccm mnadhania kila mpinzani wa ccm au Jiwe yupo nje ya ccm, karibu mwanza hotel hapa ule na kunywa kwa fedha za ccm
 
Narudia tena: kama kuna siri za Taifa, kuna siri za Mwenyekiti!
 
Mbowe atimue washauri wanamshauri vibaya

Tanzania Hakuna mgogoro wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…