Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari
Safi Sana Mbowe Busara na heshima zako zimeonekana Ni halali hata Chadema wakose wa kurithi nafasi yako.
Nakupongeza kwa hili.
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Roho yako mbaya inakusumbua sana..Yeye aliyekimbiwa leo kasalimiana nao na kusikiliza maneno yao..Wewe ni nani?
 
Unaenda kumpigia magoti mtu aliyemtandika risasi 38 nduguyo utadhani anaua CHATU na kama haitoshi akaendelea kumshughulikia vivyo hivyo huku akiwa hoi kitandani.

CHADEMA hakuna kitu
Mkuu kupambana na mtu mwenye nguvu na kila aina ya silaha, kunahitaji akili sana. Binafsi nakubaliana na approach hii
 
Mkuu hapa umetuchapa, msikilize tena Mbowe.

Huu ndiyo ulikuwa ujumbe wake mkuu kwa Raisi.

Huu ndio uongo mchana kweupe, wote tumemsikia Mbowe na mpira sasa uko kwa JPM. Amekumbushia jambo ambalo walishaliomba enzi zile za UKUTA.
Naona Lowassa na Sumaye wamemute kabisa kana kwamba hawajui kinachowasibu watanzania hasahasa wapinzani. Afadhali Bwana Yule ametia neno-HAKI.

Sijaelewa walichokifanya mods kwenye huu uzi..
 
Inaonyesha ulishuhudia
Unaenda kumpigia magoti mtu aliyemtandika risasi 38 nduguyo utadhani anaua CHATU na kama haitoshi akaendelea kumshughulikia vivyo hivyo huku akiwa hoi kitandani.

CHADEMA hakuna kitu
 
Mmenyooka. Mwenye kuelewa atajua sababu ya kwenda Mwanza. Ni baada ya Kukosa mtaa. 2020 ni shida miaka huo
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Hawana ubavu wa kufanya hivyo kwa kuwa wamegubikwa na aibu kwa jinsi ambavyo wamekuwa wakikejeli juhudi za Rais Magufuli kuibadili Tanzania Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi na Kiteknolojia kuelekea uchumi wa kati. Hawana agenda mbadala ya kushindana na Rais Magufuli kubadili mtazamo chanya wa wapiga kura kuhusu utendaji kazi wa Rais Magufuli.
 
Mimi pia nnaungana na wewe kuhisi kuna kitu
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ameenda Mwanza kibwege bwege. Na sio yeye tu, yaani Heche, Mnyika, Sugu, Lema, Boniface waende Mwanza bila kuwa na jambo la maana? Sidhani
 
Pamoja na Mbowe kuamua kurudisha majeshi nyuma
Nilipenda pale Barafu alipopiga norinda huku akiwa ameachia Sterling ya helicopter, huku makomandoo wakishuka na kamba, jamaa ni level nyingine aisee, Be blessed bro .
picha zinafuata
 
Watu wanakwambia CDM wamekosea kujishusha, wacheni hato...watu wakikutana kwenye kamati kuu wanafikiria mbali sana!
 
Back
Top Bottom