Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari
Hivi wale makomando mbona hawakwenda kumuokoa MO kipindi kile ametekwa?
Ama MO sio mtu mashuhuri? Nawaza kwa sauti 😏
 
Happy birthday TANZANIA [emoji777]
Happy birthday TANGANYIKA [emoji818]
kitendo cha viongozi wa vyama mbalimbali kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Taifa letu hicho tu ni kielelezo dhahiri za Umoja na mshikamano kwa Taifa letu.
Hongera nyingi kwa Rais wetu kwa kuwaleta pamoja wapinzani wako.
HAPPY BIRTH DAY TANZANIA.58 YRS
 
hao nguchiro wa chadema wameshtukia kuwa mwakani washinde wasishinde hawarudi bungeni wanaanza kujipendekeza kwa mheshimiwa Magufuli?

Hivi unajua kuwa CHADEMA ndio walioshinda Urais mwaka 2015? Hivi unajua kwanini CCM na Serkali ya Babu Magufuli waliamua kufanya UCHAFUZI wa SERKALI ZA MITAA badala ya Uchaguzi Huru na Haki?Kama hujui kawaulize Jafo na JPM!Tume isio Huru ya Uchaguzi, TISS na POLICCM ndiwo Kura za Ushindi wa CCM…!!
 
Mkuu wewe kweli ni SIMPLE MIND!
Huna hazina ya information background.
Refer Mwalimu;
Kutaifisha njia kuu za uchumi(kujitawala kiuchumi)
Viwanda lukuki vya mazao
Mashirika ya umma huduma kwa wote
(ATC,BIC,NBC,BORA shoes,NDC,TISCI,TEMDO,TIRDO,UDA,KAMATA,NARCO etc)
Vyuo vya uchumi na biashara(Busuness college Dsm, SHYCOM, IFM etc)

Na mengine mengi , sijui tusemeje
Waswahili husemaga yakwapi!?
 
Ila uokoaji kwa staili ile iliyoonyeshwa siyo kabisa. Ni kama ndiyo kwanza wapo kwenye mafunzo tena katika ngazi ya chekechea.
 
Hivi wale makomando mbona hawakwenda kumuokoa MO kipindi kile ametekwa??
Ama MO sio mtu mashuhuri??! Nawaza kwasauti [emoji57]
walikuwa hawajajofunza hizo mbinu hadi alipotekwa Moo
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?

1. Sina hakika kama RECONCILIATION inayotakiwa ktk taifa letu inawahusu MBOWE na MAGUFULI

2. RECONCILIATION haina uhusiano na Urais wa Magufuli kwa sababu hakuna kinachobadilika whether kuna mtu hamtambui Magufuli kuwa ni Rais ama la

3. RECONCILIATION inayojadiliwa hapa ina manufaa kwa wanaoongoza serikali zaidi kuliko wanaoongozwa. Kwa hiyo it's whether kuchagua SAHIHI au UPOTEVU

4. Mwisho ubabe na kiburi cha MADARAKA siku zote na ktk historia ya ulimwengu huu haujawahi kumnufaisha na kumsaidia awaye yeyote zaidi ya kuleta maumivu kwa pande zote; wanaoutekeleza ubabe huo na wapokeaji (waathirika) wa ubabe huo!!

NOTE:

å Usidhani kuwa wewe uko salama kwa kuishi katika jamii isiyo na utengemano japo walio madarakani na vibaraka wao wanaowaunga mkono (ukiwemo wewe) mnaamini kuwa there's no problem everything is okay

å Kuishi katika jamii isiyo na utengamano hakuna aliye salama, si viongozi wenyewe wala wanaoongozwa

å Msidhani kuwa watu ni wajinga kwa kiwango mnachodhani kwamba hawajui kuwa hata huyo Rais hayupo pale kihalali bali anaitwa Rais kwa mbinu chafu tu.

Ama unadhani watu hawajui kilichotokea Zanzibar mwaka 2015??

Do you think that will last longer before you start paying the ultimate price?....No, it's sooner or later unless you confess your sins...

Na hii ndiyo maana hasa ya RECONCILIATIONS!!!

å Mmesahau mara kilichotokea uchaguzi wa SZM (mitaa na vijiji) mwezi uliopita? Mnadhani hao viongozi watafanyaje kazi kwa kushirikiana na wananchi iwapo inaonekana hawakuchaguliwa bali wamejiweka wenyewe tu? Utapata wapi maendeleo ktk jamii ya namna hii?

Think about it...
 
Back
Top Bottom