Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari
Mbowe jana kaoneaha ukomavu mkubwa wa siasa sema upinzani kuna wachawi wengi na mmoja wapo ni Zitto
 
Echililo,

Kweli Mhe Mbowe kuonyesha ni mwanasiasa mwenye maono lakini ya Shibuda yalitisha kitaifa!!! Kachoka na siasa karudi kwenye siasa za kitongoji(vernacular as evidence of this)!!!
 
Chama kama hakina 'philosophy' inayo amini kinakuwa 'opportunist'. Fursa inapo bana kinakufa. I'm afraid to say, CDM ndo inako elekea. Wapi Dr. Slaa!
 
By the way, kihistoria, ni nani anatakiwa kuomba maridhiano? Angalia kule S.A., Zanzibar etc. Kiukweli ni kituko kwa CDM kuomba maridhiano.
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Nadhani hujasikikiliza vizuri,hekima ni muhimu sana na kufikiri kabla ya kuongea.unapotafuta maridhiano ,upendo,amani alafu unakumbushia ya nyuma ina maana wewe unatafuta chuki na sio kuyajenga.Tujitahidi kuwa waelewa na kutafuta maridhiano sio kukumbushia ya nyuma.
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Hujasikia Mbowe anamuita Meko Mh. Rais?
 
Mkuu hizo ni sharehe za Uhuru wa Waanganyika bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini , au kijinsia. hivyo chadema kushiriki hizo sherehe hakuna usaliti wowote au unajisi wa democrasia. wameshiriki kama watanganyika na ccm wameshiriki kama watanganyika.

Utanganyika wa cdm umeanza kwenye sherehe hizi?
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano
Tusinukuu ya manyangau wakati yetu na yao hayafanani
 
Tusinukuu ya manyangau wakati yetu na yao hayafanani
Ifike mwisho watanzania wajuwe kuwa nchi ni yetu sote, hakuna aliye na nafasi ya kipekee kuliko mwingine. Waafrika tuna tabia ya mtu akiwa kiongozi anajiona ni bora kuliko asiye kiongozi. Kuna siku tutachapana viboko ili kuweka heshima. Viva Mbowe kwa kuonesha uzalendo kuliko kijani wachumia tumbo.
 
Nimemsikia Mbowe jana akitaka maridhiano ya kitaifa wakati alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru.

Wahenga walisema 'wema huanzia nyumbani'

Mbowe amekua ni FASHISTI ndani ya CHADEMA na yeyote aliyejaribu kuenenda kinyume naye yalimpata!!

Mbowe ana historia ya kuumiza kisiasa na kimwili wale wote walioonesha mawazo mbadala au upinzani dhidi yake ndani ya CHADEMA.

Katika CHADEMA Mbowe amekuwa mhimili usioguswa na anaamini siku zote hakuna anayejua au anayeweza kuliko yeye.

Watu mbali mbali wamekua wakitamani kuleta nageuzi ndani ya chama lakini Mbowe kwa maslahi yake binafsi amekua akiwaumiza au kuwatimulia mbali.

Mbowe hajaonesha nia yoyote yakutaka siasa safi wala Demokrasia ya kukifanya CHADEMA kuwa chama bora cha kushika dola zaidi ya kuchuma mali na pesa kwaajili yake binafsi na marafiki zake.

Mbowe ni FASHISTI aliyekomaa sasa amekutana na Mnazi ameamua kuomba maridhiano.

Mbowe ondoa kwanza UFASHISTI ndani ya CHADEMA ndipo utake maridhiano ya kitaifa vinginevyo utulie.
 
Hivi hao wote waliofanyiwa mabaya na Mbowe unataka kusema hawajui vituo vya polisi vilipo, hawajui mahakama zilipo?, mna propaganda za zamani sana.
Na za kijinga kwelikweli!
 
Back
Top Bottom