johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
John Momose Cheyo!Bwana Mapesa Ndio alitoa hotuba nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John Momose Cheyo!Bwana Mapesa Ndio alitoa hotuba nzuri
Sawa muda utaongea! Posho yako ya siku tayari?Wewe ndio umelala usingizi wa pono!
Kama kawa CCM haitegemei ruzuku ya serikali!Sawa muda utaongea! Posho yako ya siku tayari?
Nadhani hujasikikiliza vizuri,hekima ni muhimu sana na kufikiri kabla ya kuongea.unapotafuta maridhiano ,upendo,amani alafu unakumbushia ya nyuma ina maana wewe unatafuta chuki na sio kuyajenga.Tujitahidi kuwa waelewa na kutafuta maridhiano sio kukumbushia ya nyuma.Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Hujasikia Mbowe anamuita Meko Mh. Rais?Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Mkuu hizo ni sharehe za Uhuru wa Waanganyika bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini , au kijinsia. hivyo chadema kushiriki hizo sherehe hakuna usaliti wowote au unajisi wa democrasia. wameshiriki kama watanganyika na ccm wameshiriki kama watanganyika.
Tusinukuu ya manyangau wakati yetu na yao hayafananiMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano
Yamkini unashangaa kwa sababu ya kushiriki kwa kupewa nafasi ya kuzungumza.Utanganyika wa cdm umeanza kwenye sherehe hizi?
Ifike mwisho watanzania wajuwe kuwa nchi ni yetu sote, hakuna aliye na nafasi ya kipekee kuliko mwingine. Waafrika tuna tabia ya mtu akiwa kiongozi anajiona ni bora kuliko asiye kiongozi. Kuna siku tutachapana viboko ili kuweka heshima. Viva Mbowe kwa kuonesha uzalendo kuliko kijani wachumia tumbo.Tusinukuu ya manyangau wakati yetu na yao hayafanani
Mbowe huyu aliewakomesha Chacha Wangwe, Zito Kabwe, Sumaye kwa kuonesha nia ya kugombea uenyekiti, leo anazungumzia demokrasia? ajabu sana
Na za kijinga kwelikweli!Hivi hao wote waliofanyiwa mabaya na Mbowe unataka kusema hawajui vituo vya polisi vilipo, hawajui mahakama zilipo?, mna propaganda za zamani sana.