Vp wale waarabu mlioshindwa kuwafunga kwa mkapa??
Ile ni Club Bingwa Mzee, huwezi kulinganisha wale Waarabu na Hawa Wabovu kabisa...!
Coz Hawa hata wakiwatoa hawatoboi hatua inayofata.

Wanawezaje kuwafunga 2 Team mbovu inacheza bila plan yoyote.
 
Machezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
Si ilirudiwa ikaonekana Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea. Hivyo haipi uhalali wa penati
 
Ile ni Club Bingwa Mzee, huwezi kulinganisha wale Waarabu na Hawa Wabovu kabisa...!
Coz Hawa hata wakiwatoa hawatoboi hatua inayofata.

Wanawezaje kuwafunga 2 Team mbovu inacheza bila plan yoyote.
Klabu bingwa kutolewa rukhsa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ngunguzi fc kama nilivyowaambia 2-0 hizoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…