Wakati SIMBA wameikamata mechi ...
Tulihitaji akili ya FADLU sasa....
Tumechelewa kwenda na ATEBA NA KIBU hadi mwisho
Mpanzu anafanya kazi kubwaaaaaa halafu mwisho wa siku anapiga kijishuti au kupaisha tu mpira napo vipi?
 
Sasa wale utawalinganisha na hii mikebe ya ugoro mliyocheza nayo? Mnajielewa kweli nyie!
Jibu swali,wakati simba anaongoza kundi la klabu bingwa mbele ya bingwa mtetezi na kuingia robo fainali ulikuwa bado hujazaliwa......
 
Mfano mpanzu anatoa.watu wanapaisha,kocha amewaamini.watu.wanashindwa.kupeleka pasi kwa wakati wanapiiga shuti kulekea.kwa adui,huyo mpanzu kafanya.kazi Kibu anarudisha nyuma huenda wamekula mgao
Msimsingizie kocha huo ndio uwezo wa wachezaji wenu.

Huyo Kibu Denis ana miaka miwili ana goli moja kwenye ligi unategemea nini kwake?
 
VAR ikiletwa Bongo kuna vilabu bingwa uchwara vitashuka daraja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Makoloo buuuuuuanaaaah.... Matokeo unayo au tukutumie kwq message
 
Klabu bingwa kutolewa rukhsa?
Sisi tumefika Fainali huko ulipo, Kwa namna mlivyocheza Leo, mwisho wenu umefika, Mwarabu anavyojua kupoteza muda, utaona wakija Dar....!

Hamtoboi.
 
Mfano mpanzu anatoa pasi wanapaisha,kocha amewaamini watu wanashindwa kupeleka pasi kwa wakati wanapiiga shuti kuelekea kwa adui,huyo mpanzu kafanya kazi Kibu anarudisha nyuma huenda wamekula mgao
Na huko hakuna cha GSM wala nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba ina kawaida mambo marahisi inayafanya magumu. Toka dkk 70 nilijua goli la 2 linakuja.

Ateba, Ahoua, Ngoma hamna kitu. Kocha anachelewa saana kufanya mabadiliko.

Ateba hajui kucheza kama striker, anakaa mbali na goli na hajui kumsoma Mpanzu akiwa anakaribia goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…