Hii timu mwisho wake ni robo. Huko utopoloni ndo kabisaaa hakueleweki, lae mvua kesho juaπŸ˜”
 
Hivi Bongo kuna nn? Mbna hata hao professional Player sioni ushawishi wao ktk maamuzi ya ushinikizo? Mbna wenzao wanajua kutumia fursa wafaidike.

Mpanzu, Ahoua, Ateba, wanashindwa kuongoza wenzao kumshinikiza Refa? Inaboa sana.
Unakula umeme ndio utajuwa hujui.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ navyowajua madundukwa a.k.a ngunguzi fc.... Fadlu anayo kazi sana... Ataanza kuambiwa tuachie timu yetuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.

Timu libovu limezoea kupewa penati 3 ndani ya mechi mojaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa wote msiojua mpira nawapa taarifa tu round hii anaenda nusu fainali,tarehe9 sio mbali
 
Ilikuwa nia aibu kumwacha Chama mwenye akili ya mpira na kumbakiza mfukuza upepo Kibu mwenye akili kisoda
Match km ya leo, angekua Chama, kuna kitu kingepatikana, ukweli lazima niuseme, yule kiumbe alikua na uwezo wa kuamua match akitaka.

Ngoma hamna kitu, lina develeka utadhani Senge jipya mtaani, huyu mpira ushaisha, kustaafu hataki pumbaav. Inaboa hatari.
 
Si ilirudiwa ikaonekana Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea. Hivyo haipi uhalali wa penati
Hawa mbumbumbu wanafikri wako bongo ambako marefa huwa wanachezesha huku wamevaa jezi za simba
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ kibu na mpanzu wanaleta mpira wa umiseta πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Tuache utani simba wala hata robo hakustahili kufika.... Walipaswa watolewe 16 bora ila wakabebwa!!
 
Kapombe na Zimbwe wamechoka, watafutiwe wenzao, hawa kina vale na nani sijui watupishe, tumechoka kuishia Robo kila msimu, utadhani Nusu haituhusu khaaah.

Naumia mie hadi sijui nifanyeje aaaah
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa derby
 
Nikarare SasaπŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€ πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ€πŸ€πŸ•Ί

Cc Smart911
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakimbia mechi fc wamengia kinyumenyume kwq muarabu kavaa msuliπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…