Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Fundi kwa local matches, angekuwa fundi mahiri angefunga angalau goli moja tu pale kwa Mkapa ili utopwinyo waende robo final ya CAFCL...Mzize fundi wa boli
Uto wanakabika kirahisi sana aisee.Mbona tupo mwanetu
ππFundi kwa local matches, angekuwa fundi mahiri angefunga angalau goli moja tu pale kwa Mkapa ili utopwinyo waende robo final ya CAFCL...
Au siku ile kwenye mechi na waarabu hakucheza?
Huyo ni fundi wa ndondo cup tu ππ
Sasa mbona ulikimbia na sababu zenu zisizo na maana hamueleweki mara mumlaumu meneja mara baunsa, waacheni wenzenu walio kubali kucheza na YangaUto wanakabika kirahisi sana aisee.
Mkabe mguuni aimesha
Acha unafiki ,Mzize aliwafunga TP Mazembe kwa shuti kaliFundi kwa local matches, angekuwa fundi mahiri angefunga angalau goli moja tu pale kwa Mkapa ili utopwinyo waende robo final ya CAFCL...
Au siku ile kwenye mechi na waarabu hakucheza?
Huyo ni fundi wa ndondo cup tu ππ
πππ hongereniππ
Unakatwaaa?Raha Ya mechi Bao au umesahau ukipigwa Bao Raha yake mama?
Unakatwaaa?
Shukrani sanaπππ hongereni
Acha ujinga.... Naongelea mechi ya waarabu na sio ya TpAcha unafiki ,Mzize aliwafunga TP Mazembe kwa shuti kali
tuombe uzimaLabda mchukue la CUF ya Lipumba.
Hatutakaa kuwakimbia ninyiSasa mbona ulikimbia na sababu zenu zisizo na maana hamueleweki mara mumlaumu meneja mara baunsa, waacheni wenzenu walio kubali kucheza na Yanga
Mmejitokeza sasaNice
Tunajipigia tutupo na matawi yetu
π€£Unakatwaaa?
Walishaona milango migumuππππ
Sasa mlifanya nini?Hatutakaa kuwakimbia ninyi
Mliharibu utaratibuSasa mlifanya nini?