FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Nilikua nasbiri hii coment ukicheki aina ya watu waliopo humo tunapata picha ya huyu mleta mada ni wa namna gani. utakuta kavaa libukta likubwaaa limepauka
Ila yanga mnawaumiza watu, kila wakitegemea utajikwaa ndio kwanza unaruka viunzi, da! balaa!!
 
Kipa ndo steringi....! Kachomesha bao 2, Wamemtoa asiendelee kutoa swadaka.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…