FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hakuna uhuni uwanja ni mbovu una tuama maji nyie mashabaki mihemko ni wapumbavu ? Mnashindwa hata kuiwajibisha serikali yenu kwa uhuni na ufisadi wa biln 30 ila mnawatetea kisa mahaba ya kipumbavu kwa timu zenu.

Ile robo fainali ilikuwa mechi ya kipuuzi katika uwanja wa kipuuzi ila kwa sababu ya ushabiki wa kijinga nafikiri mliona mechi bora katika kiwanja bora.
 
Mnaweza mkashinda 1-0 au 2-1 ila sio kubeba kombe.
Na tambua ukifunguka ndio umejiroga kwa Berkane.
Muulize Stellenbosch alipofunguka S.Afrika kilimkuta nini.
Unachosema ni sahihi ila lolote linaweza kutokea. Kama Simba aliweza kukaza kipindi cha pili kuna kitu Fadlu alijifunza. Tumpe homework tutarudi na nguvu moja nyumbani

Mark this comment
 
Wachezaj waelewe kuna VAR..ujinga ujinga kama huo wasiwe wanafanya game za away
Hapa namkumbuka divkson job wa yanga hawez fanya ujinga wa back pass athar zake ndio zimezaa mabao 2 kama mabeki wangejua majukumu yaonmechi ingeishaa 00
 
Unachosema ni sahihi ila lolote linaweza kutokea. Kama Simba aliweza kukaza kipindi cha pili kuna kitu Fadlu alijifunza. Tumpe homework tutarudi nguvu moja kwa Mkapa

Mark this comment
Umeona goli la offside na yale magoli mawili aliyoyazuia Camara?
Embu chukulia angeshindwa kuwazuia yale mawili na lile la offside lingekua goli.
Camara amewaokoa sana ila back line ya Simba hamkuweza kuzuia kitu.
Mtu anatambuka watu wanne!??
Alooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…