3 sio habaKwa leo hata 3 si mbaya
Guvu moya [emoji3]
Nguvu ndoo akili kisodanguvu nyingi akili ndogo
Nyinyi Yanga jiandaeni kwa mambo yenu kwa kesho, kama Simba tunateseka hivi na nyinyi mtaseka mara dufu.Mimi ni yanga ila sijapenda simba ifungwe hii mechi
Simba msituangushe jamani,mshinde mtutoe kimasomaso
Wanaweza milion tano za mam samiaWachezaji WA Simba wanakuwa kama hawapo mchezoni labda kama watachangamka kipindi cha pili
Kuimba kupokezana 😀😀Baadae ikifika wengine huharibu mida yao kwa kuwatusi.