FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Timu zetu zina misimu.

Na bahati mbaya hazina uwekezaji wa kudumu ndiyo maana simba ya mwaka juzi haiwezi kurudi tena as tunaona Yanga hii ya sasa inaweza kufanya vizuri kuanzia mwaka huu mwishoni na mwakani.

Endapo haitafikia malengo kwa pesa waliyowekeza sasa basi hio Yanga nayo never come back tena!.

Note my word.
 
Wachezaji WA Simba wanakuwa kama hawapo mchezoni labda kama watachangamka kipindi cha pili
 
Komenti ziwe fupifupi[emoji23][emoji23][emoji23]
inna-lillahi-wa-inna-ilayhi-rajiun.jpg
 

Attachments

  • 20230218_100353.jpg
    20230218_100353.jpg
    100.5 KB · Views: 2
Mimi ni yanga ila sijapenda simba ifungwe hii mechi
Simba msituangushe jamani,mshinde mtutoe kimasomaso
Nyinyi Yanga jiandaeni kwa mambo yenu kwa kesho, kama Simba tunateseka hivi na nyinyi mtaseka mara dufu.

Kila mtu ashinde mechi zake.....
Kila mtu apambane na hali yake....
 
Back
Top Bottom