Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Mimi mlinzi mwaka mzima hio sifikishi.5000,000 wajua ni salary ya mtu mwaka mzima?
Hivi uneuona ubora wa hawa waarabu au unaandika tu?I wish team ingekua chini ya Mgunda, he is the best
Angalia wachambuzi hapo chini πSasa boli limeisha, kazi kwenu wachambuzi
Mnawekeza katika kuroga mwisho wa siku mnapewa kichapo kikali.Ndio hivyo sitaki kusikia Teena habari za mpira Kama ndio hivi.
Nakubali KoloRaja anakufa
Niliwaambia mashabiki wenzangu wa Simba sioni sababu ya kuletwa huyu kocha mpya katikati ya msimu wakati Mgunda anafanya vizuri na alishapata combination nzuri ya Boko Chama na Ntibanzonkiza. Walinishukia kama mwewe. Leo hii toka huyu kocha aje Simba imekuwa ikishinda kwa tabu huku ikicheza mpira mbovu na Boko hafungi tena.I wish team ingekua chini ya Mgunda, he is the best
Wewe ni mpumbavu jifunze kukubali kufeli.RAja 6 vs Yanga 0
Moira wa kwenye makaratasi huoIle game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Raia wameandamana πππ