FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Ubora wa vikosi unajionyesha wazi hapa.
Simba kikosi cha bilioni ngapi ukilinganisha na Raja Casablanca. Ni wazi kikosi cha wageni kitakuwa cha mabilioni mengi na hivyo kuwa na wachezaji bora kuliko wale wa Simba.

Nimekumbuka usemi wa Mheshimiwa Kikwete. .."Ukitaka kula lazima uwe tayari na wewe kuliwa" Mafanikio hayaji kiwepesi. Lazima jasho hata ikibidi la damu litoke.......
Poleni sana Wanasimba.
 
I wish team ingekua chini ya Mgunda, he is the best
Hivi uneuona ubora wa hawa waarabu au unaandika tu?

Huyo Mgunda aliyekuwa anasumbuliwa na Mbeya City ndio awafunge hawa waarabu, hizi ndoto zenu za ajabu kweli..
 
Wale mliokua mnamkataa Juma Mgunda kocha ndio huyu sasa... Sijui Simba walitumia vipimo gani kumpa huyu jamaa timu.. Binafsi simuelewi anachokifundisha!!
 
Sasa boli limeisha, kazi kwenu wachambuzi
Angalia wachambuzi hapo chini 😆
IMG_20230218_210026.jpg
 
I wish team ingekua chini ya Mgunda, he is the best
Niliwaambia mashabiki wenzangu wa Simba sioni sababu ya kuletwa huyu kocha mpya katikati ya msimu wakati Mgunda anafanya vizuri na alishapata combination nzuri ya Boko Chama na Ntibanzonkiza. Walinishukia kama mwewe. Leo hii toka huyu kocha aje Simba imekuwa ikishinda kwa tabu huku ikicheza mpira mbovu na Boko hafungi tena.
 
Ile game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Moira wa kwenye makaratasi huo
 
Back
Top Bottom