FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Simba anakufa hamsa tusubiri gemu ianze uone watu wanavyoukimbia uwanja leo, Yanga km upo sahihi Ila kwa Simba umepoteza ubashiri

Nilisema kabla gemu haijaanza leo Simba mashabiki watakimbia uwanja, 😂
 
Toka Hans Pop aondoke (RIP) Simba imegeuka mbwa koko.

Kuwa shabiki kindakindaki wa Utopolo na Makolo ni kujiumiza tu. 3 au 😂😂🤣. Acha washinde wanaojua kucheza mpira

Hiki kichapo kinastahili kwa Simba hii.
 
Hii timu ilimfunga mtu tano mtungi , timu yap ilifika nusu fainal world cup , million tano za mama zimewaponza
 
Ndugu zangu hawa jamaa wamewekeza kwenye mpira tuache siasa za kina Mangungo kuleta mchezaji siku za uchaguzi 🤣🤣🤣
Kweli kabisa .Kuokoteza tu wachezaji sijui akina Baleke na kuishi kwa mazoea kuwategemea akina Bocco.
 
Hivi Kuna anayejuwa kosa la yule kocha mspanish wa Madrid de Rosa kufukuzwa?

Hii ndy karma sasa,,

Kocha kaipeleka timu robo fainali,,tumetolewa kwa matuta kuingia nusu fainali anafukuzwa vipi?

Leo nataka tufungwe hata 0--5.

Ili tuache kuishi kwa mihemko.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Bora timu aachiwe Mgunda apange timu ..
Huyu Robertino simba itapigwa 5 .. Casablanca
 
Back
Top Bottom