Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.Sasa tutachukua point kwa nani?
Wamebana wameachiia 3 bila, 3 bila (in J nature voice)3 bilaaa
Ni kupoteza muda tu, wakati uwekezaji ni sifuriTuachane na uwongo wa kudanganya mashabiki kwenye vispika vya sumu ya panya
Wangecheza kwenye jua wangepigwa hamsaSimba waliomba game ipigwe kwenye jua kali la saa 1600hrs CAF wakagoma.
Hivyo simba wanalaumu chinichini caf kwa kukataa ombi lao wakidhani kipute kingepigwa baada ya saa kenda wangeshinda!.
Hawa akina Phiri Ilitakiwa Waanze
Wanageuza furaha kuwa vita. Very stupidHiyo penati hata sijaiona nilikuwa katika harakati za kutoka uwanjani
Ila nilichojifunza mashabiki inabidi tubadilike sana
Wakati natoka nje hapa kwenye hizi ngazi uwanjani nimestuka na kelele za watu waliokuwa wanamkinbiza mtu wakimuita mwiz
Alikuwa ni dogo tu maskini watu wamemzinga wamepiga kipigo kikali watu wakijua ni mwizi
Lakini mwisho wa siku kumbe dogo alikuwa anashangilia penati ya Raja
Wamemuumiza sana dogo anavuja damu hata nguvu ya kusimama amekosa
Dear friends timu yako kama haichezi kwa Mkapa sio sehemu salama wewe kwenda ukifikiri utakuwa huru kushangilia wapinzani wako wakifungwa kama ukiwa mtaani au humu jukwaani