Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Pira la Yanga ni pira vita kesho mazembe watalala na Viatu
Kombe la shirikisho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pira la Yanga ni pira vita kesho mazembe watalala na Viatu
Wametumia vyema uwanja huoIngekuwa 5-0 au 6-0
Hawa jamaa ni moto wanakimbia Kama wamewekewa motor miguuni , wanacheza utafikiri kwa mkapa ni uwanja wa nyumbani
Nitashangaa kama RTO wa Dar hatatoa tamko juu ya hilo suala. Maana lilikuwa ni jambo hatari kwa wachezaji.Alfu kwanin walilirudisha bus kkinyumanyuma had posta
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
ujinga mtupuMkuu basi limetoka mbweni mpaka temeke kwa rivers [emoji706][emoji706]
Nitawashangaa wachambuz wa kesho hawatalisema Hilo kina Farhan walisema Sana [emoji38]Kwa hiyo hata zile mechi za kirafiki na CSKA Moscow, Al Hilal ya Sudan; zote hizo zilikuwa ni kazi bure tu! [emoji2]
Kwa sasa tuna MINOCYCLINE! 😇 Genta yupo Lutindi.@GENTAMYCIME
Unaitwa huku
Unategemea matokeo kwa raja? DahIlikuwa ni suala la muda tu.
Simba imejitahidi kadiri ya uwezo wa wachezaji wake.
Ukilinganisha Raja ni wepesi na wakishambulia hawatoi pasi chonganishi kama Simba.
Hata hivyo, kwa kufanya maboresho ya madhaifu bado Simba ina nafasi ya kupata nafasi ya pili iwapo itashinda mechi 3 na sare 1.
Kufuzu mieleka au 🤣🤣View attachment 2522038
Mechi za Simba za kufa na kupona hizi ili aweze kufuzu.
Anatakiwa ashinde zote je ataweza?
Sasa wachezaji wa Raja Casablanca ndiyo wa kuwafananisha na akina Wawa, Kagere! Kweli?Lakini mbona kwenye mechi na Singida tulicheza vizuri?
Tukiwa na wachezaji hawa hawa
Au tuseme hawa kina Rajabu ni wakubwa sana?
Hapo kwa Chama ungebold.[emoji28][emoji28][emoji28] cham bwana vipasi vyake ambavyo havina maana...
Nilisema toka juzi huwezi kshinda laja ukiwa na
Sawa dogo
Henock
Sakho
Chama kiungo mbovu anayeonekana mechi dhaifu za Nbc. Toa chama weka phiri,toa Sakho weka Kibu toa Saido weka Baleke.
Unajua simba ni mnyama. Mbele kuna kichwa na nyuma kuna mkia. Ili
Mambo ya DNA babaa. Kama DNA nakataa wewe siyo babake ya nini kuacha mapicha ya haramu banaa. Futa futa yote kabisaHV huyu kijana mwerevu kafanyaje mbona mji wa DSM Ni mzito
cocastic njoo nipashe kidgo au Nakadori View attachment 2522109
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Katika 9 hizo 3 ziwe za Raja. Kama ametufunga kwetu kwani na sisi tusiende kumfunga kwao. Tumlipe magoli aliyotufunga na kumkopesha na mengine.Huu Msimu
Tunahitaji Point 9 huku Horoya Akifugwa Nje ndani Na Kudraw Moja
WydadBINGWA MTETEZI WA HILI KOMBE NI NANI? NITASHUKURU SANA, KAMA NIKIJIBIWA