FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Ilikuwa ni suala la muda tu.

Simba imejitahidi kadiri ya uwezo wa wachezaji wake.

Ukilinganisha Raja ni wepesi na wakishambulia hawatoi pasi chonganishi kama Simba.

Hata hivyo, kwa kufanya maboresho ya madhaifu bado Simba ina nafasi ya kupata nafasi ya pili iwapo itashinda mechi 3 na sare 1.
Unategemea matokeo kwa raja? Dah
 
[emoji28][emoji28][emoji28] cham bwana vipasi vyake ambavyo havina maana...

Nilisema toka juzi huwezi kshinda laja ukiwa na
Sawa dogo
Henock
Sakho
Chama kiungo mbovu anayeonekana mechi dhaifu za Nbc. Toa chama weka phiri,toa Sakho weka Kibu toa Saido weka Baleke.
Hapo kwa Chama ungebold.
 
Kwann wamelirudisha bas nyuma nyuma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unajua simba ni mnyama. Mbele kuna kichwa na nyuma kuna mkia. Ili
Aweze kurudi salama alikotoka lazima ageuke ili kichwa kitangulie. Vinginevyo inabidi arudi kinyumenyume akiwa ametanguliza mkia, kwa maana kwamba sasa anaongozwa na mkia ambao hauna macho badala ya kichwa chenye macho. Sasa nadhani utaelewa kwa nini kwa Mkapa katoka mtu badala ya KWA MKAPA HATOKI MTU.
 
Back
Top Bottom