Yanga nao wapo uwanjani wameona wawe sehemu ya historia
 
FIFA wanatutambua kwa ubora wetu

Na nyie mnatambulika ila kwa migogoro ya madeni na wachezaji wenu
View attachment 2787242
Rage kwa hakika hakukusea ,zamani mlikuwa mnashangilia post za CAF kama ubingwa sasa mmehamia FIFA .

Eti ubora wetu wakati hiyo ni post tu kama post nyingine wala haijasema kuhusu ubora ,pamoja na sifa alitoa Rage kuhusu Makolo sifa namba mbili ya Makolo ni ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…