Fainali tunafika kwa hawa kina Stella ambao walipjipitisha.Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.
Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kupata matokeo mana kwa miaka ya sasa imekuwa si kitu rahisi.
HujanielewaDuh!...we jamaa ni muoga kiasi hiki?... kazi kweli kweli...
Hata nusu pia tumecheza.Si tulikubaliana Fainali tulishafika? Hamna wanachotudai vyura.
Ni afadhali tungekutana na Zamalek sio hao waZulu.Ni noma sana hao wazulu aisee...inabid tuwe makin sana ...
Tulia hivyo hivyo timu bado ipo Kwenye mashindano hivyo kufika fainal au kuchukua kombe inawezekana.Unajifurahisha wewe,,si unayo timu ya kufika fainali tusiandikie mate na wino upo fika fainali na wewe kama ni ni kidume kweli
Labda kombe la ushirikina hilo mtapata na sio kombe la shirikisho!Tulia hivyo hivyo timu bado ipo Kwenye mashindano hivyo kufika fainal au kuchukua kombe inawezekana.
Hawa Washiraz Haa HaaHahaha ile ajali kazini. Ila hawa wa leo sio waatabu hawa wapemba...waarabu gani ata gusa achia twende kwao hawawezi.....hawa kengold iliyochangamka
Uko wapi, mbona sikuoni tena?😂Niko hapaaaaa nawasubiri mje hata Kijiji kizimaaa 🕺🕺🕺🕺💚💚💚💚💪💪💪😁😁
Pole.😂😂Leo tunawaombea mshinde tu. Maana mnatia sana huruma. Mmekaa kichokoraa sana na kihuzuni.
Unajua watu wanatuona wachawi kule sauzi tulichoma moto uwanjani na Orlando pirates ..Hawa wasauzi si mchezo kabisa ...Orlando naye kapita huko......ngoja tuone...Ni afadhali tungekutana na Zamalek sio hao waZulu.
Ila ili uwe bingwa lazima uzishinde timu bora kudhihirisha ubora wako
Hawa walionekana tuu toka first leg hawana timu bwana basi tuu kule var iliwasaidiaHawa Washiraz Haa Haa
Uchawi na chuki na Husda haukusaidii chochote zaidi vinakuongezea ufukara zaidi ya ulionao..Labda kombe la ushirikina hilo mtapata na sio kombe la shirikisho!
Mnaogopa sangoma wa sauz watamzidi nguzu sangoma wetuUnajua watu wanatuona wachawi kule sauzi tulichoma moto uwanjani na Orlando pirates ..Hawa wasauzi si mchezo kabisa ...Orlando naye kapita huko......ngoja tuone...
Ndio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaogopa sangoma wa sauz watamzidi nguzu sangoma wetu
Orlando kapita? Huu mwaka wa wa south.Unajua watu wanatuona wachawi kule sauzi tulichoma moto uwanjani na Orlando pirates ..Hawa wasauzi si mchezo kabisa ...Orlando naye kapita huko......ngoja tuone...
Hela ipo kule lazima timu zao zifanye vizuri.....Orlando kapita? Huu mwaka wa wa south.
Team 3 ziko Semi final. Hatariiii.
Wanyooshe, wanyookeYaan tukifuzu hii game, modes watulie, nitanyoosha watu leo hii. Woiiiih.
Sawa sawa mkuuHata nusu pia tumecheza.
Ila tunafaiti kuweka records za miaka hii ya Genz na G55