FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Yaani leo, sijui nimeamkia upande gani Jadda hata sielewi. Toka mwanzo nilikuwa nawaombea mshinde, mmeshinda na bado kwa mara ya kwanza nikawapongeza 😍 hongereni sana. Furaha ndiyo kila kitu maishani.
 
Hahahaaa. Sawa Mtani japo tutaishi kwa shida sana wiki hii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila hongereni bana.
πŸ˜‚πŸ˜‚Hakuna namna, tutapepeta mdomo wiki yote hii mpaka mtulieπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Unaumia kutokea pande zipi za Nchi Dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
................................................
SISI nusu fainali kimataifa

WAO nusu fainali FA CRDB Cup
Kaskazini mwa Tanzania mdogo wangu. 🀣🀣

Na mwaka huu sijui ka maji yatanyweka. πŸ˜…
 
Uwanja wa mkapa bado ni tatizo, uwanja wa taifa unajaa maji vile, hii ni aibu.
 
Yaani leo, sijui nimeamkia upande gani Jadda hata sielewi. Toka mwanzo nilikuwa nawaombea mshinde, mmeshinda na bado kwa mara ya kwanza nikawapongeza 😍 hongereni sana. Furaha ndiyo kila kitu maishani.
Shukrani my Dear, huko ulikoamkia tunaomba uamkie siku zote, tumefurahi 😍😍
 
fine
 
sasa hapa inachanganya ashukuriwe mwamposa ana waganga
 
Mkuu umewahi kuona kiongozi wa CCM anashushwa jukwaani wakati akihutubia zaidi ya saa 12 jioni?

Vv
nchimbi katoa maelekezo mikutano ya ccm ifuate sheria, hatayeye ilivyokaribia saa 12 alishuka jukwaani na akasema wazi ni kwa sababu muda wa kufunga mkutano umewadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…