whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
leo hakuna cha mchezaji wa yanga wala simbaHapo beki utamlaumu vipi mpira umepikiwa katikati ya uwanja?
Huyo kipa katoka ulaya?Hakuna kipa hapa msitutanie. Yaani mchezaji hamjawahi kumuona kisa yuko Ulaya ndo mumuanzishe?
Tutawalaumu kwenye magoli yanayofuataHapo beki utamlaumu vipi mpira umepikiwa katikati ya uwanja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Himid Mao kila pasi yeye anarudisha nyuma[emoji1787]
Ukiwa unaendelea kujichekesha kaunta unakuja kushtuka ubao unasoma 1-1 FT 🤪 alafu pongezi zote kwa Mama Asante MamaNgoja niagize supu ya mkia.
Pasi na shaka agiza mkuu hiyo pesa hipo kabisa asaivi naiyona imesogea mfuko wa shatiNgoja niagize supu ya mkia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gooooooooo, safiiiii Morocco, piga hawa Stars hadi akili ziwakae sawa
Mnachompendea Bajana mpaka Sasa sikioni. Bora Kibu ana nafuu.Anatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo
Mm mwenyewe sijaelewa kwann limekataliwaHili mbona ni goli kabisa
Ulipata Ticket ya mgao??Tuko hapa uwanjani, ila tumeanza kuogopa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahhii mechi ikiingia inauma ikitoka inauma pira taabu na mahangaiko hii mech nngekua mfanyakaz ningechukua mkopo nmb milion 20 naibetia yote kwa moroco kisha nakojoa nalala asbh nawalipa nmb ela yao yote
Mpira unadunda Hila sio kwenye maji Tanzania ni kichwa Cha mwendawazimu muulize mkubwa mwinyiUkiwa unaendelea kujichekesha kaunta unakuja kushtuka ubao unasoma 1-1 FT 🤪 alafu pongezi zote kwa Mama Asante Mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CCM leo wanafungwa
Watumie polisi ili wasifungwe
Hapana mkuu, nilishakata yangu mapema.Ulipata Ticket ya mgao??