Dakika 5 za Kwanza tu zilitosha kujua hapa hamna kipa. Anapoteza Muda Kwa kulala kabisa dakika ya 3?
Sijajua kocha aliona nini kwa huyu kipa

Kafanya rotation kwenye eneo la mwisho ambalo makosa yakifanyika basi possibility ya kuzaa goli ni kubwa.

Huku kwenye eneo la washambuliaji makosa yakifanyika yanaweza kuwa fixed na viungo au mabeki.

Eneo la kipa yakifanyika makosa mara nyingi huwa ni goli itokee tu iende off target.
 
Kimeshawaka huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kocha wa taifa stars ccm kabet sio bure sio kwa kikosi hiki cha mataputapu nawaambia kocha kachukua mkopo kabeti hii mech kawapa morocco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…