Dah tuta pumzika sasa kuskia ngonjera.
 
Unachezea hela za watu za kodi wakati mahospitali hayana dawa. Asante Mungu wetu wa kweli!
 
Mpeleke ni saa100 salam.
 
Serikali ijifunze kutenganisha siasa na michezo... Wanaingiza siasa kwenye mpira na TFF na wanaharakati wanakubali. Sasa ni nini tena kitatuunganisha?
 
Inachosha sana ila anae ratibu hili suala anatukosea mno
 
Kwakweli hapa panahoja. Nani muamuzi kulingana na mazingira yetu? Why saa 4 usiku
ILa nineona watu wamejitokeza, lakini hii ratiba sjui nani kapanga mechi kuanza saa 4 yani game iishe saa 6 tupo nyumbani huu ni ujinga
 
Nitoe mimi.
Nampongeza Kocha kwa mbinu aliyotumia,
ameingia na kikosi ambacho Morocco hawakijui.
Ndio maana tukafungwa Goli chache.
Hii sio kweli kimsingi hii mechi hatukupaswa kabisa kufungwa kama golini angekaa Metacha au Manula ,beki 2 angekaa Job ,mbele wawepo Kibu Samata na Msuva hii mechi tulipaswa ku draw ama kushinda kabisa
Comoro kampiga Ghana bila shida yoyote si tuko tunaamini majina
Rwanda anaongoza kundi lenye Nigeria na South Afrika huko akiwa na point 4 si tunaamini majina
Very low !!!hatutakaa tutoke hapa
 
Unachezea hela za watu za kodi wakati mahospitali hayana dawa. Asante Mungu wetu wa kweli!
Acha uchawi wewe, unafurahia timu yako ya taifa kufungwa ?....huo ni uasi na usaliti.

Motisha ni kawaida sana kwenye michezo.

Hongera sana Stars mmethubutu na mmejaribu.

Viva Tanzania Viva stars...
.πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Thank God yamefungwa! Asante bwana Yesu!

Watu wanakufa wakijigunfua kisa 150,000 unagawa 300,000 for stupid things! wacha watu walipe watazame upuuzi wao, siyo hela za serikali
 
Thank God yamefungwa! Asante bwana Yesu!

Watu wanakufa wakijigunfua kisa 150,000 unagawa 300,000 for stupid things! wacha watu walipe watazame upuuzi wao, siyo hela za serikali
Hata sekta ya michezo ni muhimu na ina bajeti yake.
 
Nilijua lazima tupigwe kwasababu ya kuingiza siasa mchezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…