FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Kuna links nyingine ni za kiwaki sana yaani Kila baada ya dk 5 wananiletea picha za ngono ukisema uondoe ndio inafunguka full screen Niko na wife pembeni mpaka anahisi naangalia pirau badala ya mechi nimeamua kuzima laptop mazima.
 
Uzalendo sio kujidanganya tutawafunga Morocco na wachezaji wetu wa aina hii
Tuwafunge kwa kikosi hiki?
1700594078670.png
 
Yangu ni hayo tu.vijana wajikaze wasifungwe goli za kutosha Bali wajilinde na kupunguza idadi ya magoli .tusitake kushindana na moroco hatuwawezi.
Naona golikipa wa burundi akidaka mpira analala kabisa as if tunaongoza 3:0 Bure kabisa hili timu la Hangaya
 
Wakuu Tuliombee Taifa
Taifa gani ambalo kila kitu wanatanguliza siasa hata pasipotakiwa?.


Nchi hii wapo wafuasi wa CCM, ACT, CUF, CHADEMA et al na wale wenzangu na mimi tusiopenda kitu kinaitwa siasa, sasa ikicheza Taifa stars inageuka CCM Stars jinsi wana CCM na viranja wao wanavyofanya.


Hali hii ndio imechangia matabaka, wengine wanaiunga mkono timu huku wengine tukiwa tunasema lolote baya liwakute CCM B.
 
Back
Top Bottom