FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Gooooooooo, safiiiii Morocco, piga hawa Stars hadi akili ziwakae sawa
 
Hili lingeweza kufanyika Kama tungekuwa kwelii sisi ni taifa la mpira(footballing nation), ila sasa hivi kamwe haliwezi kufanya... Maana hata hao viongozi tu ambao ndio wangeweza kulifanya hili wapenda kuutumia mpira kisiasa tu na hata mapenzi na mpira hawana.
ila kweli mkuu yaani kila mtu anaangalia maslahi yake na kweli mpira wetu umeingia siasa sana.
 
Back
Top Bottom