FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Hii game wachezaji ndani wanacheza vizuri sana tofauti na ilivyosemekana awali, kocha anawajibika kwa ujinga wake wa kumuanzisha Kawawa golini.

Kwanamna yoyote ile lile halikutakiwa kuwa goli, hapo sasahivi watamchungulia kila muda.
 
Back
Top Bottom