FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Wakuu niliangalia live online wakati wa penati internet ilistuck,hivi ile penati kipa alitoa au ilipigwa nje
 
Mi naona wamecheza tu vizuri siyo kama ile mechi ya Niger, ila Morocco ni wazuri aise mtu akipata tu mpira unakuta karibia wote wameshatafuta nafasi na wapo wenyewe
Mzee! Hii Morocco Ni Ulaya Iliyo Africa [emoji288] , Tumejitahidi Mno !
 
Hakika watanzania ni wanyonge/watumwa.

Tupo home pira linapigwa saa 4, watapata washabiki gani hapo uwanjani?🤣🤣

Au ndo tunakubaliana na kila kitu lengo ni kujitangaza?
Kwakweli hapa panahoja. Nani muamuzi kulingana na mazingira yetu? Why saa 4 usiku
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mbona wale wajamaa wanaopitaga kufix uwanja sehemu ziliozochimbika leo hawapo?
 
Niko na mzambia anamlalamikia Chama anacheza kama "slow motion". Tunaitazama game ya Niger na Zambia. Zambia ashapasuka 2 half time. Kibonde wa Taifa stars anamkamua mzambia barabara.
 
Back
Top Bottom