Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #481
🤣🤣🤣🤣Unacheza namba ngapi mkuu?. Sio kwamba hawataki kufunga ni mazingira hayaruhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Unacheza namba ngapi mkuu?. Sio kwamba hawataki kufunga ni mazingira hayaruhusu.
Kocha apigiwe simuHivi Mudathir anafanya nini Nje ?
🤣Naomba idadi ya magoli wapeleke bango Magogoni kama zawadi ya mama kwa kuupiga mwingi.
Channel ipi wanaonesha hii mechiNiko na mzambia anamlalamikia Chama anacheza kama "slow motion". Tunaitazama game ya Niger na Zambia. Zambia ashapasuka 2 half time. Kibonde wa Taifa stars anamkamua mzambia barabara.
OnlineChannel ipi wanaonesha hii mechi
Jinga
OkOnline
Au walete nyuki,kama walivyofanyaga arusha kwenye mkutano wa chadema, waliweka nyuki kwenye mfuko wa nylon ule mwepesi wakaurusha kwenye mkutano,watu walitawanyika kama upepoNyie mlioko Uwanjani ndo watu pekee mnaotegemewa na Ccm kuiokoa Timu yenu ya Tanzania isifungwe Goli Tano, cha kufanya ni Kuleta vurugu tu hapo ili Mechi iahirishwe Morocco wapewe Goli 3 basi,
au mnafikiri mmelipiwa ticket za buree ??? Jiongezeni [emoji16][emoji23][emoji1787]
Sio kuchoka tu asipokuwa makini ataumiaKibu, atachoka sana.
Asec Mimosa wana bahati sana