FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Tayari leo yamekataa goli la Aziz Ki! Pumbavu kabisa!
 
Bila shaka Bwana Hersi naye hamumdai maana malengo yenu ya kuingia makundi klabu bingwa msimu huu yameshatimia
Ndio ilikuwa kiu ya muda mrefu na safari hii mambo yameshatimia. Sasa kazi ni kwake, wachezaji na benchi la ufundi kwa ujumla kuamua kama watakoleza zaidi furaha ya mashabiki zaidi ya hapo ama vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…