FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

TFF watuletee waamuzi makini sio waamuzi ambao wanakubali magoli ya offside kama mechi iliyopita dhidi ya azam!,azam walifunga goli la offside yenye kuonekana kabisa!.

Kama mwataka waamuzi wetu wafike mbele Kuna haja yakufanya jambo, alasivyo Kila siku wataishia humuhumu.
Tayari leo yamekataa goli la Aziz Ki! Pumbavu kabisa!
 
Bila shaka Bwana Hersi naye hamumdai maana malengo yenu ya kuingia makundi klabu bingwa msimu huu yameshatimia
Ndio ilikuwa kiu ya muda mrefu na safari hii mambo yameshatimia. Sasa kazi ni kwake, wachezaji na benchi la ufundi kwa ujumla kuamua kama watakoleza zaidi furaha ya mashabiki zaidi ya hapo ama vipi.
 
Back
Top Bottom