Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mechi itaanza saa ngapi Chifu?Kuna mbumbumbu wanaumia eti!! [emoji16]
All in all, nawatakia Wananchi [emoji172][emoji169] ushindi mnono.
18:00's PM Kiongozi.
Absolutely! [emoji1666]The end justifies the means!
HATA NILIPWE KIASI GANI HIYO GAME SIANGALII....
MATUMIZI Mabaya ya Muda.
Kutoka mtabiri wa kujipiga ban utabiri unapobuma hadi kujiingiza ktk dini ya ucha mbuzi 😂mchambuzi
Tuwaombee wananchiKutoka mtabiri wa kujipiga ban utabiri hadi ucha mbuzi [emoji23]
Umekula lakini?
Kuna mmoja choko hapoAbdallah vs Dullah
18:00's PM Kiongozi.
Ombi hilo peleka kwa mchungaji wenu bro Mashimo ukiambatanisha na sadaka ya leo.Tuwaombee wananchi
Wewe sio TANTE MKUU ndugu so hili swali haikuhusu.Mimi nipo VIP A Brother!! [emoji112]
Jenga timu yakoThis time wametupandishia viingilio.