Kwasasa anajuta, hata hao wenzake aliowakuta hapo Azam wanamshangaa, anatoka kwenye timu yenye uhakika wa kuingia fainali clab bingwa, anaingia kwenye timu isiyo na uhakika hata wa kufika nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC.
Nawe umekula tsh ngapi?Beki kalaaa elaaaa hakuna goli mabek hawakabi kabisaa daah......
Singida bhanaModerator yanga ana moja tayari
Nenda ukakabe weweBeki kalaaa elaaaa hakuna goli mabek hawakabi kabisaa daah......
Lakini aligomea ofa ya Yanga.... Tukubali tu yaisheKwasasa anajuta, hata hao wenzake aliowakuta hapo Azam wanamshangaa, anatoka kwenye timu yenye uhakika wa kuingia fainali clab bingwa, anaingia kwenye timu isiyo na uhakika hata wa kufika nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC.
Tatizo hapo ni Mauya, japo siiangalii hiyo game.Yanga ina cheza kwa tempo ya chini sana leo
Utakuwa ume bet wewe?Mungu ibariki Singida
Kwa Sasa wamebadilika, wanapress vile tulivyowazoeaTatizo hapo ni Mauya, japo siiangalii hiyo game.
Kama tunazitaka points 3 basi mkude aingie hapo.
Paka useme[emoji23][emoji23][emoji23], Bado hujasemaSingida wanacheza mpira kwa maelekezo maalumu kutoka kwa mwigulu.......
Kilasiku huwa nahoji humu, kwanini Konkoni hapewi nafasi?Konkon ana kitu, Mzize atusamehe