Ahsante kwa taarifa.Max Mpia Nzengeli
Upashe motoUzi Umepoaa
Mods waliweka eti Singida moja,ndomaana,naona wamerekebisha.Asawazishe tena?
Poa yaishe.Lakini aligomea ofa ya Yanga.... Tukubali tu yaishe
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hahahhahaahahhhahahha Ila coastal wachezeHawezi kua na lig bora kama singidaa wataendelea kucheza mpira wa maelekezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu na Dada yake wanacheza mechi.