Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Niazime wako...Kwahiyo we ni mnyama usie na mkia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niazime wako...Kwahiyo we ni mnyama usie na mkia?
Wakikuzidia hao Uto niiteKwani wewe una kombe gani msimu huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ushasahau tulichukua ngao mbele yenu
Sisi baada ya ngao tu baasi hatutaki tena kombe focus ipo nusu fainali CL[emoji16][emoji16][emoji16]
Na hiyo timu yenu mkusanyiko wa wastaafu tia maji tia maji au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa hadi wasema Mkuu....
Wenyewe ndio hawa.Niazime wako...
Ucheze match 4 Kimataifa usishinde hata moja ndio uje kufika nusu fainali club bingwa? Kweli Mh Rage ajengewe sanamu kwenye ofisi za DP World.Kwani wewe una kombe gani msimu huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ushasahau tulichukua ngao mbele yenu
Sisi baada ya ngao tu baasi hatutaki tena kombe focus ipo nusu fainali CL[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa hapo wekundu uko wapi, unaijua rangi nyekundu kweli kijana, nimeamini huko wenye akili ni wawili tuWenyewe ndio hawa.View attachment 2794941
Unamjua Simba Mnyama[emoji1787][emoji1787]Na hiyo timu yenu mkusanyiko wa wastaafu tia maji tia maji au?
Huyu Tatu Malogo?Unamjua Simba Mnyama[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo wekundu uko wapi, unaijua rangi nyekundu kweli kijana, nimeamini huko wenye akili ni wawili tu
kuna goli tatu hapaMwiguru atakuwa katoa maelekezo kuwa magoli yaishie haya haya mawili maana Yanga wanapoteza nafasi nyingi za kufunga magoli
Nimewasilian na kocha kamtoa kaingia mziz wa fitinaLeo Aziz hayupo mchezoni, anapoteza sana mipira
leo zamu ya maxKi mechi imempalia
Ki mechi imempalia