FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Kwani wewe una kombe gani msimu huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ushasahau tulichukua ngao mbele yenu
Sisi baada ya ngao tu baasi hatutaki tena kombe focus ipo nusu fainali CL[emoji16][emoji16][emoji16]
Wakikuzidia hao Uto niite
Nipo kwa Mangi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niazime wako...
Wenyewe ndio hawa.
FB_IMG_1697548664677.jpg
 
Kwani wewe una kombe gani msimu huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ushasahau tulichukua ngao mbele yenu
Sisi baada ya ngao tu baasi hatutaki tena kombe focus ipo nusu fainali CL[emoji16][emoji16][emoji16]
Ucheze match 4 Kimataifa usishinde hata moja ndio uje kufika nusu fainali club bingwa? Kweli Mh Rage ajengewe sanamu kwenye ofisi za DP World.
 
Mwiguru atakuwa katoa maelekezo kuwa magoli yaishie haya haya mawili maana Yanga wanapoteza nafasi nyingi za kufunga magoli
 
singida wanapoza mpira kama vile wameridhika kupigwa mbili
 
Sasa hapo wekundu uko wapi, unaijua rangi nyekundu kweli kijana, nimeamini huko wenye akili ni wawili tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malizana naye nakuaminia...
 
Hizi timu zisiwe zinacheza Yanga awe anapewa tu point 3 maana sioni cha maana hapa
 
Back
Top Bottom