FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Simba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.
Kweli tupu
 
Noma sana. .
 
Ndio nimeshudia hao watalaamu na mwamuzi wa kati wote wanatokea nchi moja ya Misri. Kuona mpira kama umeugusa mkono unahitaji utalamu upi? Ni vitu vimeoneshwa wazi kabisa.
Pia kuona mkono kusukuma mgongo wa Kibu unahitaji utaalamu upi kwa mujibu wa hoja yako?
 
Mpaka saa hii Simba wana Medali kama za Yanga.

Wakiacha masihara wanaongeza Kombe.🦁πŸ’ͺ☝
Yanga hakucheza UMITASHUMITA yenu
CAFCC alocheza Yanga zilikuwemo timu bingwa
Ila hii netball yenu hakuna bingwa hata wa sao Tome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…