FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Bilion 2 na kama milioni 800 hivi ya kutolea.

Atapata point 4 ambayo itazidishwa mara 5 ambayo itakuwa ni 20

Uto sio level zetu maana wao tayari wanajiandaa kuwakabili Pyramids kwenye fainali yao ya Club Bingwa maana Chama alisema amekuja Yanga ili achukue Ubingwa wa Caf Champions League.
 
Chama alikuwa na nuksi bora aliondoka.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Masikini Chama...😌😌😌
 
Endeleeni kuangalia mi nimevaa earpods nakula zangu mziki huku sauti nimeweka hadi mwisho ili nisi bugdhiwe na visauti vya redio vya hapa mtaani vinavyotangaza mechi.
Wewe ni Mimi dakk ya 70 nilitoka nikaenda home vaa earphones saut full check movi nikasubr tokea la mwisho nawasha redio ufm nasikia mtangazaji anaimba siiimba siiimba mi woyoooooooooo
 
Ungemalizia machinjioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…