Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Huwezi kuirekebisha mijitu iliyojaa viburi na imeshasema kuwa imeamua kukaa kimya yaani kutupuuza.Mkuu acha kabisa usiombee mapinduzi ya kijeshi yatokee huku kwetu yaani ni kitu kibaya kabisa, hakuna cha rule of law kwenye nchi yenye mapinduzi ya kijeshi na hujui kesho yako itakuwaje. Ni bora tuendelee kurekebishana hivi hivi kwa kutumia majadiliano. Kwa kweli Mungu apishie mbali!
Naona mna wakuza sana hawa CIA .hamtaki kuamini kama wana pigwa za usoHii mbanga usije kushangaa baadae kwamba CIA wapo behind this trend , wanakusaidia kuvuruga uchaguz af wanawapa Wana support ya kukupindua madikteta wa afrika magharibi wachukue notice kwa utulivu
Ahadi za mwana TANU.Ipo kwenye katiba ama ni utaratibu kama ule ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM.
Wanawatesa Vipi Raia.Huko ni kutesa raia na kuharibu nchi....hakuna keki hapo.
Hata hao wanajeshi hukataa kutoka madarakani mfano ni huko Sudan, Mali.Wanawatesa Vipi Raia.
Yaani kudhibiti Wezi Wa kura ,wezi Wa rasilimali za nchi. Mgawanyo mbaya Wa keki ya Taifa, ukabila, Udini, Matumizi mabaya ya Mali za umma. Madeni makubwa yanayoishia mifukoni mwa watawala. Kutumikisha Watoto Wa maskini Jeshini Kwa mishahara midogo.
Wanaotawala kiraia huku wakiwa wanatumia Majeshi kuwaumiza wananchi na Hata kuwaua na kuwafunga hovyo ni mbaya kuliko Kutawaliwa kijeshi kamili.
Nchi za Afrika ndizo nchi zinazowatumikisha Wanajeshi wake Kwa maslahi Duni wakati huo huo watawala raia wakiwa wanaishi maisha ya starehe na kufuru kubwa na kuhamishia Mali za umma ughaibuni.
Akitokea Mwanajeshi au Kiongozi raia anayeingoza kijeshi ni rahisi sana kujenga umoja, uwajibikaji,utii, Uzalendo na kuimarisha usalama Wa nchi.
Utawala Wa kiraia unatumia fursa ya Demokrasia na Majeshi yanayowalinda , kuiba Mali za umma.
let wait and see. Mnagangwa ni old school. Kuna kizazi kipya kimeshaanza kuonyesha kuchokamnagwagwa kaingia juzujuzi tu hawajamchoka, labda chama chake cha zanu pf wamekichoka
Sio OMARY bwana Mlozi, Omary ni baba mtu huyu ni AliOmar bongo bye bye ngoja naye sasa aonje machungu ya jela maana hawatamuacha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣nya inagonya chupi na kurudi.
kuna kitu hakipo sawa kwa marais wa Africa, em angalia Omar Al Bashir worth yake,Nimesoma mahala kuwa Samia kwa miaka miwili is worth more than $4B!!! Incredible !! Ndio maana ana jeuri ya kuwaambia wananchi ameziba masikio!!
Kabisa Nigeria [emoji1184] a some alama zanyakatiNigeria kama hajashtukia haya mapinduzi basi hana akili.Kuna rasilimali nyingi ambazo hawajaweza kuzitumia na huyu naye ni kibaraka wa UK mrusi hana haja nae. Jeshi lenyewe halijielewi.
Kumbe hii ndo ID yako??Kuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
Kwani hata hao wanaoingia mbele ya mabeberu wana jipya gani?huyo mbambe wa Niger tayari ameshaanza kuwa mpole baada ya kuomba kipindi cha mpito cha miaka 3!!kukataliwa na ECOWAS!!mikataba yote ya rasilimali za nchi walishagawa,sasa hata ukiingia sio suala la muda mfupi kuirekebisha!!Nao wanavuna tu kipindi cha mpito kikiisha wanawaachia wengine.Naona Mabeberu wanazidi kuminywa kila kona[emoji23][emoji23]
"In the name of the mtaani people...we have decided to defend our bodies and viwalos by putting an end to the current people wearing our Magwandas" the officer saidIn the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
Ujue hawezi kutembea yule jamaa bila fimbo. Tangu nilipoona anazuia jaribio mwaka 2019 akiwa anatibiwa Saudi Arabia nikajua huyu hakai sana.Yule mzee anavyoumwa bado anataka madaraka?